Mfumo rahisi wa kufuatilia mauzo, gharama, na faida ya biashara yako. Inafanya kazi kwa mama mboga, machinga, maduka, na migahawa.
Vibonyezo vikubwa, lugha ya Kiswahili, hakuna mambo magumu.
Uliza swali lolote kuhusu biashara yako, AI inakujibu.
Pata taarifa za stock, malipo, na mambo muhimu kwa SMS.
Kisha lipa TZS 1,000 tu kwa mwezi - sawa na chai 2 tu!